Posts

Mhe. Mashimba Ndaki akitoa shukrani za pekee kwa Mungu kwa kumfanikisha kushinda kiti cha ubunge katika jimbo la Maswa Magharibi.

Mheshimiwa Mbunge Mashimba Ndaki Kwenye picha ya pamoja na Viongozi baada ya Kuapishwa mapema wiki hii mjini Dodoma

Mashimba Ndaki Ni Miongoni Mwa Wabunge 256 waliothibitishwa na Tume ya NEC wanasubiri kuapishwa..

Dr John Pombe Magufuli Ametaganzwa kuwa Ndie Mshindi Kwa Kiti Cha Urais Tanzania

Ushindi Wa Kiti Cha Ubunge Jimbo La Maswa Magharibi

Rais Kikwete kwenye ofisi za CCM Lumumba Dar es salaam leo.

HATIMAYE NAPE ALIWEKA HADHARANI ORODHA YA MAJINA YA AMBAO KUPITIA VIKAO HIVYO CCM IMEWATEUA KUGOMBEA UBUNGE NA UWAKILISHI WA MAJIMBO NA VITI MAALUM KATIKA UCHAGUZI WA OKTOBA, MWAKA 2015

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA NEC LEO MJINI DODOMA KUPATA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE KWA TIKETI YA CCM

Nia Ya Kugombea Ubunge Jimbo La Maswa Magharibi Ndugu Mashimba Ndaki

Mgombea Ubunge Ndugu Mashimba Ndaki, Jimbo la Maswa Magharibi katika makabidhiano ya vifaa vya michezo.

Mgombea Ubunge Jimbo la Maswa Magharibi Ndugu Mashimba Ndaki akiwa na Vikundi katika jimbo ni katika shughuli ya ugawanyaji wa Hisa katika kikundi.

MJUE MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MASWA MAGHARIBI.

Kinana: Wanaoona Misingi ya CCM haifai Waondoke.