RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA NEC LEO MJINI DODOMA KUPATA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE KWA TIKETI YA CCM

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akiendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, leo Agosti 13, 2015, katika ukumbi uliopo Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kupitisha majina ya walioomba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika majimbo mbalimbali. Kulia kwake ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, leo Agosti 13, 2015, katika ukumbi uliopo Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kupitisha majina ya walioomba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika majimbo mbalimbali. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein. na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Bara, Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana

Comments