Matokeo ya uchaguzi jimbo la Maswa Magharibi

Mgombea wa CCM, Ndugu Mashimba Ndakiameshinda Ubunge katika Jimbo la Maswa Magharibi baada ya kupata kura 28,104 akifuatiwa na Caslida J. Kamali (CHADEMA) aliyepata kura 8,643 na Lydia Mbuke (ADA-TADEA) kura 1,931. Msimamizi wa uchaguzi wa Jimbo la Maswa Mashariki na Maswa Magharibi, Dkt Fredrick Sagamiko amemtangaza ,Mashimba Ndaki kuwa Mbunge wa Maswa Magharibi kwa kipindi cha miaka mitano 2020-2025


Comments