Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM kwa upande wa
Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi akizungumza
kuwashukuru Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM NEC mara baada
ya kuchaguliwa katika mkutano huo uliofanyika katika Makao Makuu ya CCM
White House jijini Dodoma
Comments
Post a Comment