Posts

Ufunguzi wa kampeni Kata kwa kata katika jimbo la Maswa Magharibi

Ufunguzi wa kampeni jimbo la Maswa Magharibi na Mbunge Mashimba Ndaki amewaomba wananchi kura za kutosha za Rais,Mbunge na Madiwani