Maendeleo katika kata ya Isulilo yamefanyika kulikuwa na kero ya Maji katika kipindi cha miaka mitano tulishirikiana na Diwani wa chama cha mapinduzi katika kata hii kutatua kero hiyo
Kwa kushirikiana na shirika la World Vision, mradi wa kisima kirefu ulichimbwa katika kijiji cha Isulilo na kuwezesha kupatikana maji mengi ya kutosheleza wakazi wa kijiji hichi. Mheshimiwa mgombea ubunge amewaomba wanachi kuchagua ccm ili kufanikisha maendeleo katika kata hii na zote katika jimbo la Maswa Magharibi Pia mradi huu utakapokamilika utakuwa na vituo 6 vya kuchotea maji kwenye kila kitongoji cha kijiji cha Isulilo
Comments
Post a Comment