Mgombea Ubunge Jimbo la Maswa Magharibi Ndugu Mashimba Ndaki akiwa na Vikundi katika jimbo ni katika shughuli ya ugawanyaji wa Hisa katika kikundi.

Mgombea Ubunge Jimbo la Maswa Magharibi Ndugu Mashimba Ndaki akiwa na kikundi cha uzalishaji mali Mwamagaka  katika shughuli ya ugawanyaji wa Hisa katika kikundi.
INAENDELEA.............. 



Kikundi cha wanawake kijiji cha njia panda wakimkaribisha Mgombea Jimbo la Maswa Magharibi Ndugu Mashimba Ndaki.



Wananchi wa Kijiji cha Mwasai wakifuatilia kwa karibu utekelezaji wa Nia na shauku ya Mgombea Ubunge Jimbo la Maswa Magharibi
Ndugu Mashimba Ndaki Mgombea Ubunge jimbo la Maswa Magharibi akiwa na wanakikundi katika kijiji cha Funika.

Ndugu Mashimba Ndaki Mgombea Ubunge jimbo la Maswa Magharibi akiwa na wanakikundi katika kijiji cha Funika.

Comments