Mhe. Mashimba Ndaki akitoa shukrani za pekee kwa Mungu kwa kumfanikisha kushinda kiti cha ubunge katika jimbo la Maswa Magharibi.
( Kulia ) Ni Mhe. Mashimba Ndaki akiwa na Mke wake katika kumshukuru Mungu Kwa Yote aliyo yatenda katika uchanguzi wa mwaka huu na kufanikisha kushinda kwa kishindo.
Mhe.Ndaki akiwa na waheshimiwa Madiwani kwa pamoja katika shughuli nzima za kuwawezesha watoto na kufanikisha maisha yao bora kwa jamii na kwa Mungu pia iliyofanyika jijini Arusha
Comments
Post a Comment