Magufuli Atinga Maswa Kunadi Sera Zake

 Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amefika kuomba kura mbele ya mamia ya wananchi wa Maswa mkoani Simiyu.Pia na kumpa nafasi Mgombea ubunge Jimbo la Maswa Magharibi kuomba kura kwa mamia ya wanachi waliojitokeza.



Picha mbalimbali zikionyesha maelfu ya wananchi katika maeneo ya Kata za Solwa-Maswa, wakiwa wamejipanga njiani kusalimiana na mgombea wa Urais wa CCM Ndg, Magufuli akiwa njiani kuelekea Mkoani Mara.



Comments