Mpango wa maendeleo wa taifa wa mwaka 2020/21

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango(kulia) akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Mashimba Ndaki, baada ya waziri huyo kuwasilisha bungeni taarifa ya hali ya uchumi wa taifa kwa mwaka 2019 na mpango wa maendeleo wa taifa wa mwaka 2020/21, jijini Dodoma leo.
@bunge.tanzania
@msemajimkuuwaserikali
@gersonmsigwa

Comments