Mhe. Mashimba Ndaki akisimamia kauli mbiu ya Hapa kazi tu kwa vitendo jimboni kwake Maswa Magharibi.
(Pichani Kushoto)Mhe. Mashimba Ndaki Mbunge wa Maswa Magharibi akigawa vifaa vya michezo katika shule ya Sekondari Badi. kwa kutambua umuhimu wa Michezo katika taaluma.
Vifaa hivyo vitawashawishi na kuongeza tija kwa vijana kupenda michezo na kuboresha ujirani mwema.
Hii Ni Moja ya mikutano ya Mhe Ndaki akiwa pamoja na wananchi wa jimbo la Maswa Magharibi katika kutatua kero mbalimbali zinazowakabili. Wakati mwingine inabidi ukae na wananchi ili wakuelewe na wewe uwaelewe sawasawa.
Mikutano ya kutoa mrejesho kwa wananchi na kupata taarifa stahiki na kwa wakati kwa mambo yale ambayo jimbo limeyapata kutoka serikalini.
Burudani ikiendelea kabla ya Mbunge Mashimba Ndaki hajahutubia wananchi waliokusanyika. Malampaka Makao ya jimbo la Maswa Magharibi.
(Kushoto)Mbunge wa Maswa Magharibi Mhe. Mashimba Ndaki Pamoja na Ole Sendeka Katika moja ya mikutano kwenye ziara za kamati ya kilimo mifugo na maji katika Mkoa wa Njombe.
Hapa Kazi tu Ni moja ya kauli mbiu anayoisimamia Mhe Mbunge Mashimba Ndaki kiutendaji hapa akifungua jengo la choo cha wananfunzi shule ya msingi Mwabomba. Jengo hili Mbunge kwa kushirikiana na World Vision na kukamilisha ndoto ya siku nyingi katika shule ya Mwabomba.
(Kutoka Kushoto) Mbunge Mashimba Ndaki Pamoja na Diwani Katika moja ya majukumu yake kwa kuakikisha fedha za maendeleo zinawafikia walengwa katika Halmashauri ya wilaya ya Maswa.
Mbunge Mashimba Ndaki akihakiki kazi aliyoianza ya kuhakikisha Shule Inajengwa katika Kijiji cha Mwakulilima ambapo hakukuwa na shule ya msingi kabisa. Na Mbunge alichangia mifuko 100 ya simenti na kuweza kujenga vyumba viwili vya madarasa ambapo January mwaka 2018 shule hii itaanza kijijini hapo na kuwapunguzia watoto adha ya kutembea umbali mrefu kutafuta shule kwenye kijiji cha jirani
Mhe. Mbunge Mashimba Ndaki aliadhimisha siku ya mtoto wa kike duniani kwa kufahamu umuhimu wa elimu kwa watoto wa kike katika shule ya msingi Igunya na kutoa msaada wa ujenzi wa darasa moja mifuko 30 ya simenti.
Mbunge Ndaki katika kuiadhishisha siku ya mtoto wa kike aliitumia kugawa zawadi kwa watoto wa kike waliofanya vizuri katika masomo.
Mhe. Mbunge Mashimba Ndaki katika Kijiji cha Seng'wa akitoa taarifa kwa wananchi baada ya kutoka bungeni August 2017.

Comments
Post a Comment