Mbunge Mashimba Ndaki ahudhuria mahafali ya Kidato cha Nne Pia Na kusimamia na kufuatilia utendaji kazi wa TASAF Jimboni.

Mheshimiwa  Mashimba Ndaki  akimbembeleza mtoto wa mama mmoja katika  kijiji cha Nyashimba ili kuruhusu mama huyu kupokea pesa zake za TASAF katika Jimbo la Maswa Magharibi.

Mbunge wa Jimbo la Maswa Magharibi, Mkoani Simiyu, Mheshimiwa  Mashimba Ndaki akiwapongeza wanafunzi wa kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari ya Badi wanaotarajiwa kuhitimu masomo.

Comments