Mhe Ndaki amethubutu kutatua kero ya maji katika jimbo lake la Maswa magharibi.

Mhe. Ndaki akizidua moja ya kisima  cha maji kilichokamilika hii ni kutokana na kuwawezesha wakazi na jimbo kupata maji na kuondoa kero kwa kinamama na jamii nzima. kisima hiki kimekamilika kwenye kijiji cha Seng'wa. Maji ni changamoto yenye kipaumbele jimboni.

Mbunge wa jimbo la Maswa Magharibi akifuatilia utekelezaji wa ahadi ya kuchimba kisima kirefu kijiji cha Isulilo kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo World Vision ili kukabiliana na changamoto ya maji jimboni.


Comments