Mhe. Ndaki Katika Uhamasishaji wa maendeleo vijijini

Mhe. Ndaki akihamasisha maendeleo katika vijiji vya Maswa Magharibi katika ngazi zote za  Vijiji ambapo kunasababisha maendeleo ya Vijiji kuwa imarika ukizingatia vijijini ndiko kuna fursa nyingi zenye kuinua uchumbi wa wananchi, Katika kuchochea maendeleo.
 (Pichani) Wa nne Kulia ni Mhe. Mashimba Ndaki katika uhamasishaji vijijini.
 (Pichani) Ni Ngoma ya pachanga ni moja ya ngoma zinazotumika Jimboni kuhamasisha na kuchochea maendeleo.
 (Pichani) Ni Mhe. Mashimba Ndaki akiwa Bungeni kwenye semina mojawapo juu ufanya kazi wa Mabunge ya Afrika. Ni moja wapo ya mikakati ya mbunge kuhakikisha Jimbo La Maswa magharibi linapata fursa ya Kimaendeleo.

Comments