Mbunge wa Maswa Magharibi akiwakilisha wananchi wa Maswa katika msiba wa aliyekuwa Spika wa Bunge Ndugu Samuel Sitta

Mbunge Wa Jimbo La Maswa Magharibi, Ndugu Mashimba Ndaki .akitia sahihi katika msiba wa aliye kuwa spika wa mbunge la Tanzania.mazishi yaliyofanyika Urambo, Novemba 12, 2016.

Comments